WELCOME ( karibu )
Swahili Johnson Bible Commentary (Ufafanuzi wa Biblia kwa Kiswahili)
Karibu katika Swahili Johnson Bible Commentary, mfululizo wa mafundisho na ufafanuzi wa Neno la Mungu mstari kwa mstari (verse-by-verse) ulioandaliwa na Mchungaji Johnson Enock wa Calvary Chapel Osire/Namibia. Lengo la kazi hii ni kuwasaidia waamini, wainjilisti, na viongozi wa makanisa yanayozungumza Kiswahili kuelewa maandiko kwa kina na uwazi, kukujenga na kukuimarisha katika Kristo.
Swahili Johnson Bible Commentary — Pastor Johnson Enock
About Pastor Johnson Enock.
Mimi ni Pastor Johnson Enock, mchungaji wa Calvary Chapel Osire, Namibi.
Ninahudumu kwa kufundisha Neno la Mungu, kuomba na watu, na kuwasaidia waamini kukua katika imani ., tukichambua mstari kwa mstari kwa mstari.
Pastor Johnson Enock is the founding pastor and shepherd of Calvary Chapel Osire/Namibia, a Christ-centered fellowship located inside the Osire Refugee Camp in the Otjozondjupa Region of Namibia. Committed to the simple, systematic, verse-by-verse teaching of God’s Word, Pastor Johnson leads worship services, discipleship training, and community outreach among displaced families from across Africa. In addition to his pastoral ministry, he is the author of several completed Christian books and is currently authoring the Swahili Johnson Bible Commentary, an ongoing verse-by-verse study resource written in Swahili to equip believers and church leaders across Swahili-speaking regions. Calvary Chapel Osire is an officially affiliated fellowship listed on the global Calvary Chapel Association (CCA) registry
Official Ministry Contact: info.calvarychapelosire@gmail.com | Phone/WhatsApp: +264 81 263 3990.
Nini Kipya Katika Ufafanuzi? (What's New)
Karibu kusoma vitabu na sura mpya zilizopakiwa hivi karibuni katika Swahili Johnson Bible Commentary:
Mwanzo (Genesis): Sura za mwanzo zimeanza kupakiwa — Bonyeza UFAFANUZI → Agano la Kale → Mwanzo
Yohana (John): sura za Yohana zimeanza kupakiwa.
Wafilipi (Philippians) & 1 Yohana (1 John): Ufafanuzi kamili unapatikana sasa. Lakini pia kuna UTANGULIZI MKUU, wa kitabu ambao unaweza kujisomea.
unaweza tu kubonyeza moja kati ya hivyo vitabu na kujisomea.
Tunaendelea kupakia sura na vitabu vipya hatua kwa hatua. Rudi mara kwa mara kujifunza Neno la Mungu
Hii ni orodha ya vitabu vya ufafanuzi wa Biblia mstari kwa mstari (verse-by-verse) vilivyokamilishwa na Mchungaji Johnson Enock kwa ajili ya kuwajenga waamini na viongozi wa makanisa yanayozungumza Kiswahili.
(Kwa maulizo au kupata nakala za mafundisho haya, tafadhali wasiliana na Mch. Johnson kupitia barua pepe: info.johnsoncommentary66@gmail.com)
Mchungaji Johnson Enock anaendelea na uandishi wa vitabu vingine vya ufafanuzi wa Biblia na mafundisho ya Kikristo ambavyo sura kadhaa tayari zimekamilika. Sehemu mpya zitaendelea kuwekwa hapa kadiri Bwana anavyoongoza.
© 2026 Pastor Johnson Enock | Johnson Bible Commentary & Ministry Publications. All Rights Reserved.
All verse-by-verse commentary materials, current writings, and future ministry books are authored by Pastor Johnson Enock to equip the body of Christ. Free for personal study and local church teaching; please contact info.johnsoncommentary66@gmail.com before reprinting or commercial distribution.